Jack Andraka

Jack Andraka: Kipimo kinachotia matumaini cha kansa ya kongosho kutoka kwa kijana mdogo.

4,555,593 views • 10:49
Subtitles in 31 languages
Up next
Details
Discussion
Details About the talk

Zaidi ya asilimia 85 ya kansa zote za kongosho zinagundulika kwa kuchelewa sana wakati nafasi ya kupona iko chini ya asilimia 2. Kwa nini iko hivi? Jack Andraka anaongelea jinsi alivyovumbua kipimo kinachotia matumaini cha kugundua kansa ya kongosho ambacho ni rahisi mno,kinafanya kazi kwa usahihi na hakihitaji kuingia katika mwili — yote hayo kabla hata ya kutimiza miaka 16 ya kuzaliwa.

About the speaker
Jack Andraka · Cancer detector inventor

A paper on carbon nanotubes, a biology lecture on antibodies and a flash of insight led 15-year-old Jack Andraka to design a cheaper, more sensitive cancer detector.

A paper on carbon nanotubes, a biology lecture on antibodies and a flash of insight led 15-year-old Jack Andraka to design a cheaper, more sensitive cancer detector.