Wanuri Kahiu

Sanaa maridadi ya Kiafrika inayochekesha na kushangaza.

617,485 views • 5:10
Subtitles in 18 languages
Up next
Details
Discussion
Details About the talk

Tumeshazoea hadithi za kutoka nje zikieleza Afrika kama sehemu ya vita, umasikini na uharibifu, anasema Wanuri Kahiu ambaye ni mwenza wa TED. Furaha ipo wapi? Anatambulisha "AfroBubbleGum" — Sanaa ya Afrika ambayo inasisimua, yenye kufurahisha na isiyo na mjadala wa kisiasa. Kuwaza tena thamani ya mambo ambayo si makubwa. Kama anavyoelezea Kahiu kwa nini tunahitaji sanaa ambayo inagusa sehemu yote ya mapitio mwanadamu ili kuelezea hadithi za Afrika.

About the speaker
Wanuri Kahiu · Filmmaker, writer

Wanuri Kahiu wants to curate, commission and create art that celebrates fun, fierce and frivolous Africa.

Wanuri Kahiu wants to curate, commission and create art that celebrates fun, fierce and frivolous Africa.