Stephanie Busari

Jinsi gani habari za uongo huleta madhara ya kweli

1,068,958 views • 6:26
Subtitles in 30 languages
Up next
Details
Discussion
Details About the talk

Mnamo Aprili 14, 2014, shirika la kigaidi la Boko Haram liliteka zaidi ya wasichana wa shule 200 kutoka mji wa Chibok, Naijeria. Duniani kote, uhalifu huu ulifanywa mfano kwa kauli mbiu ya #BringBackOurGirls yaani "Rejesha Wasichana Wetu" — lakini ndani ya Naijeria, maafisa wa serikali waliita uhalifu huu kuwa ni mzaha, kusababisha utata na kuchelewesha jitihada zozote za kuwakomboa wasichana hawa. Katika zungumzo hili shupavu, mwanahabari Stephanie Busari anaelekezea janga la Chibok kueleza hatari kubwa ya habari za uongo na nini tunaweza kufanya kuzizuia.

About the speaker
Stephanie Busari · Journalist

Stephanie Busari is a journalist and editor at CNN International Digital.

Stephanie Busari is a journalist and editor at CNN International Digital.