Nguvu ya Chutzpah Nzuri | Nili Peretz | TEDxSolanaBeach
31,994 views |
Nili Peretz |
TEDxSolanaBeach
• August 2018
Kulingana na utafiti wa wajasiriamali wengi wabunifu wa Israeli na duniani kote, Nili Peretz anashirikisha kwenye mazungumzo yake ya kuhamasisha yenye ufahamu muhimu kuhusu upande mzuri wa chutzpah muungano wa kushangaza kati ya neema na chutzpah. Kutoka elimu mpaka biashara, hili wazo linapita mipaka ya utamaduni na jinsia, kuleta kichochezi cha ugunduzi , na kutusukuma kuvumbua uwezo wetu wa kipekee, kuathiri dunia kwa uzuri. Nili ni mwandishi Mwisraeli-Mmarekani, aliyekua wakili, na mkufunzi. Ni mmoja wa waandishi wa kitabu kinachotarajiwa cha Chutzpah Nzuri. Nili analeta utafiti wake kutoka mamia ya mafunzo ya wajasiriamali wabunifu waliofanikiwa Israeli na duniani kote, na shauku yake ya kusambaza mtazamo wa Chutzpah Nzuri duniani.
Haya maongezi yametolewa kwenye tukio la TEDx kutumia mfumo wa mikutano ya TED yakiwa yameandaliwa kipekee na jamii. Jifunze zaidi kupitia https://www.ted.com/tedx