Jinsi Wanawake wa Pakistani Wanavyoregesha Mtandao
1,240,694 views |
Nighat Dad |
TEDGlobal 2017
• August 2017
MwanaTED Nighat Dad anasomea unyanyasaji wa mtandao, hasa inavyolingana na utamaduni kama ule wa kijiji chake cha Pakistani. Anahadithia vile alivyoanzisha laini ya kwanza ya msaada wa kwanza wa Pakistani wa unyanyasaji wa mtandao, unaowasaidia wanawake wanaokabiliana na ukandazamizaji katika mtandao, "Utumizi salama wa mtandao ndipo ujuzi unapopatikana, na ujuzi ni haki," anasema.