Maajabu ya boksi la Pandora - Iseult Gillespie
8,490,271 views |
Iseult Gillespie |
TED-Ed
• January 2019
Angalia somo zima: https://ed.ted.com/lessons/the-myth-of-pandora-s-box-iseult-gillespie
Pandora alikuwa ni mwanamke wa kwanza mfaji, aliepuliziwa pumzi na Hephaestus, mungu wa moto. Miungu ilimpa zawadi za lugha, kipaji cha utengenezaji vitu na hisia. Kutoka kwa Zeus alipata zawadi mbili: tabia ya udadisi na boksi lililofungwa vizuri -- lisilofunguliwa kamwe. Lakini ni hazina gani ambayo haitakiwi kuonwa kwa macho ya binadamu, na kwanini alipewa yeye atunze? Iseult Gillespie anafafanunua maajabu ya boksi la Pandora.
Somo kutoka kwa Iseult Gillespie, likiongozwa na Silvia Prietov.