Unaweza kutegua kitendawili cha pasi kubwa? - Alex Gendler
2,568,772 views |
Alex Gendler |
TED-Ed
• November 2018
Angalia masomo kamili: https://ed.ted.com/lessons/can-you-solve-the-giant-iron-riddle-alex-gendler
Familia ya majitu makubwa unayoifanyia kazi imeandaa karamu ya kupendeza, lakini kuna tatizo - shati pendwa la jitu mkuu limejikunja! Kurekebisha, unahitaji kuwasha pasi kubwa. Inahitaji betri mbili kufanya kazi, lakini jitu mtoto amechanganya rundo la betri nzima na betri mbovu. Unaweza kujaribu betri ili kupata jozi inayofanya kazi katika majaribio saba au pungufu? Alex Gendler anaonesha njia.
Somo na Alex Gendler, ikiendeshwa na Artrake Studio.