Njia tatu ambazo ulimwengu unaweza kuisha
2,399,092 views |
Venus Keus |
TED-Ed
• February 2019
Angalia somo zima: https://ed.ted.com/lessons/three-ways-the-universe-could-end-venus-keus
Tunajua historia ya ulimwengu wetu: nadharia ya Mlipuko Mkubwa inatabiri kuwa mata zote, muda na anga zilianza takribani miaka bilioni 14 iliyopita. Na tunajua kuhusu sasa: tafiti za wanasayansi za galaksi zinatuambia kuwa ulimwengu unasambaa kwa kasi kubwa. Lakini vipi kuhusu mbeleni? Je tunajua jinsi ulimwengu wetu utakavyokwisha? Venus Keus anadadafua matukio matatu ya wanakosmolojia yanayowezekana.
Mafunzo na Venus Keus, yakiongozwa na Animator Studio.
Somo kutoka kwa Venus Keus, likiongozwa Na Antimatter Studio.