Kipimo cha damu rahisi kinachoweza kugundua saratani mapema
1,531,914 views |
Jimmy Lin |
TED2017
• April 2017
Jimmy Lin anaendeleza teknolojia ya kugundua saratani miezi hadi miaka kabla ya njia zinazotumika sasa. Ametushirikisha mbinu za uvumbuzi huu ambazo huangalia viashiria vidogo vya saratani vinavyokuwepo kupitia kipimo rahisi cha damu, kugundua urudivu wa baadhi ya aina ya ugonjwa siku 100 mapema zaidi ya njia zilizo zoeleka. Unaweza kuwa mwali wa matumaini katika mapambano ambapo ugunduzi wa mapema huleta utofauti mkubwa.