Kwanini umsome nyota wa bunilizi za sayansi Octavia E Butler?- Ayana Jamieson and Moya Bailey
467,429 views |
Ayana Jamieson and Moya Bailey |
TED-Ed
• February 2019
Angalia mafunzo yote: https//ed.ted.com/lessons/why-should-you-read-sci-fi-superstar-octavia-e-butler-ayana-jamieson-and-moya-bailey
Bunilizi za sayansi nyingi zinawahusisha wanaume weupe ambao wanaua viumbe au wanawaokoa watu wa rangi. Octavia E. Butler alijua angeweza kuhadithia simulizi nzuri zaidi. Alijenga dunia za kushangaza zenye watu wa kila aina, wenye mambo mbalimbali na ya kina kwenye majaribio yao. Ayana Jamieson na Moya Bailey wanazama kwenye kazi za mwanasimulizi mwenye maono aliyegeuza bunilizi za sayansi.