Hatari ya Ukimya
6,857,364 views |
Clint Smith |
TED@NYC
• July 2014
"Tunatumia muda mwingi sana kusikiliza yale ambayo watu wanasema mpaka tunajikuta tunashindwa kufuatili yale wasiyoyasema" anasema mshairi na mwalimu Clint Smith. Mazungumzo mafupi yatokayo moyoni kuhusu kupata ujasiri wa kuongea kinyume na ujinga na udhalimu.