Loading…

Billy Graham:
Billy Graham akiongelea teknolojia,imani na mateso.

TED1998 · 26:20 · Filmed Feb 1998

Akiongea katika mkutano wa TED mwaka 1998,Mchungaji Billy Graham anafurahia nguvu ya teknolojia kuboresha maisha na kubadilisha ulimwengu. — lakini anasema kuisha kwa uovu ,mateso na kifo kutakuja tu ikiwa dunia itamkubali Kristo. Mazungumzo mahiri sana kutoka katika maktaba ya TED.

Preacher
The Rev. Billy Graham is a religious leader with a worldwide reach. In his long career as an evangelist, he has spoken to millions and been an advisor to US presidents. Full bio